Newsby HottubFor agents

michuzi.co.tz

TAEC YAJIIMARISHA MAANDALIZI YA TANZANIA KUTUMIA NYUKLIA KUZALISHA UMEME

Na Mwandishi Wetu TUME ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imesema Tanzania imeendelea kujiandaa kwa matumizi ya teknolojia ya nyuklia katika uzalishaji wa nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya Serikali ya kuimarisha upatikanaji wa nishati nchini. Akizungumza wakati wa warsha ya wataalamu kutoka TAEC, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Wizara ya Nishati iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Teknolojia…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzi.co.tz
    Add
  • michuzi.co.tzOutlet
    Add