Newsby HottubFor agents

michuzijr.blogspot.com

NGOs ZATAKIWA KUJITEGEMEA KIFEDHA, WAZIRI MKUU KUFUNGUA JUKWAA DODOMA

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kubuni vyanzo vya ndani vya mapato na kuimarisha ubia na sekta binafsi ili kupunguza utegemezi wa ufadhili kutoka nje na kuhakikisha uendelevu wa shughuli zake za kijamii. Wito huo umetolewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Jukwaa la Sita la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzijr.blogspot.com
    Add
  • michuzijr.blogspot.comOutlet
    Add